DAS TEMEKE AZINDUA OFISI YA WILAYA YA KITANESCO YA MIKWAMBE
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIBU Tawala wa Wilaya ya Temeke Bw. Kimeta Mpui amezindua Ofisi mpya ya Wilaya ya KITANESCO Mikwambe ikiwa ni mkakati wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wa kuendelea kuwahudumia na kusogeza huduma mbalimbali zinazotolewa na TANESCO karibu na wananchi. Akizungumza Mei 16, 2026 wakati wa zoezi hilo amesema uzinduzi wa…

