KAMATI YA BUNGE YAITAKA SERIKALI KUONGEZA BAJETI YA VIWANDA
Na Asha Mwakyonde, DODOMA KATIKA kipindi ambacho Tanzania inaelekea kwenye mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia Dira ya Taifa 2050, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeibuka na mapendekezo mazito yanayolenga kuimarisha sekta ya viwanda, biashara na uwekezaji nchini. Kamati hiyo imeitaka Serikali kuongeza bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara…

