MWIGULU, BALOZI OMAR WAPANGA MIKAKATI MKUTANO MKUU WA ADB, ADF CONGO BRAZZAVILLE
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), baada ya kumalizika kwa kikao cha kujadili agenda zinazohusu ushiriki wa Tanzania katika Mkutano Mkuu wa 61 wa mwaka 2026 wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya…

