JAB KUTOA ITHIBATI YA MAISHA KWA WAANDISHI WAKONGWE
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imezindua rasmi Mwongozo wa Ithibati ya Maisha unaoruhusu waandishi wakongwe ambao hawana vigezo vya elimu vilivyowekwa kupata ithibati maalum kwakuzingatia uzoefu walionao katika taaluma ya habari. Uzinduzi wa muongozo huo umefanyika katika siku maalum ya JAB yaani ‘JAB Day’ ndani ya…

