TOTALENERGIES YAFUNGUA KITUO CHA 125 TANZANIA, YAIMARISHA UWEKEZAJI KIBAHA
Na Mwandishi Wetu,Pwani KAMPUNI ya TotalEnergies Marketing Tanzania imeendelea kuimarisha uwekezaji wake nchini baada ya kuzindua kituo chake cha 125 cha mafuta kilichopo Kibaha mkoani Pwani, hatua inayolenga kusogeza huduma za nishati karibu na wananchi, kuongeza ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi. Uzinduzi huo unaashiria dhamira ya kampuni hiyo ya kuendelea kuwekeza katika miundombinu ya…

