MIAKA 30 JELA KWA KUSAFIRISHA KILO 75.15 ZA MIRUNGI
Na Mwandishi Wetu,Tanga Mahakama ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga imemhukumu Isa Musini Rashidi maarufu kama Hamidu kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kusafirisha kilo 75.15 za dawa za kulevya aina ya mirungi (Khat). Hukumu hiyo imetolewa Julai 22, 2026 na Hakimu Mkazi Azizi M. Khamis, baada ya Mahakama…

