MFUMO WA SCADA WAIMARISHA UDHIBITI WA MAFUTA NCHINI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mfumo wa Supervisory Control and Data Acquisition (SCADA) yameimarisha udhibiti wa upotevu wa mafuta wakati wa shughuli za ushushaji kutoka melini kwenda kwenye maghala ya kuhifadhia. Akizungumza katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma, Mhandisi wa PBPA, Bi. Elvira Muganga, alisema mfumo huo unaiwezesha Serikali kufuatilia kwa wakati halisi kiwango cha…

Read Full News

T-PESA YAHAMASISHA VYAMA VYA USHIRIKA KUTUMIA MIFUMO WA MALIPO KWA MKUPUO KUWALIPA WAKULIMA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupitia kampuni ya T-Pesa imezitaka kampuni, taasisi na vyama vya ushirika kutumia Mfumo wa Malipo kwa Mkupuo (Bulk Payment) ili kurahisisha malipo kwa wakulima na wanufaika wengine, huku ikipunguza matumizi ya fedha taslimu. Akizungumza katika Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea kitaifa mkoani Dodoma, Afisa Mauzo kutoka Kitengo…

Read Full News

VIJANA WAHAMASISHWA KUTUMIA FURSA ZA MADINI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Vijana nchini wamehimizwa kutumia nguvu kazi, maarifa na ubunifu wao kuchangamkia fursa zinazotolewa na Sekta ya Madini badala ya kusubiri misaada au mitaji kutoka serikalini, huku wakitakiwa kuanza na rasilimali walizonazo ili kujenga mafanikio ya kiuchumi. Wito huo umetolewa kwenye Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea Kitaifa jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Xinda…

Read Full News