MFUMO MPYA WA BRELA WARAHISISHA USAJILI WA BIASHARA, HUDUMA ZAWAFIKIA WANANCHI NANENANE DODOMA
Na Mwandishi Wetu, DodomaWakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umesema maboresho ya mfumo wake wa usajili yameongeza ufanisi, uwazi na usalama wa huduma za urasimishaji wa biashara, huku wananchi wakipata fursa ya kujifunza na kupata huduma hizo moja kwa moja katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea viwanja vya Mzunguni, Dodoma. Akizungumza katika maonesho hayo,…

