SOKO BUBU LA MADINI LAGUNDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam IKIWA ni sehemu ya usimamizi thabiti wa sekta na kuhakikisha Serikali inapata mapato yake ipasavyo kupitia mfumo rasmi wa masoko ya madini nchini, soko bubu la madini lagunduliwa jijini Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 09 Agosti, 2026 wakati akizungumza na waandishi…

