TUZO SHINDANI KUONGEZA TIJA YA SEKTA YA MAZIWA
Na Mwandishi Wetu, DODOMAWafugaji nchini wanatarajiwa kuongeza tija na uzalishaji wa maziwa kupitia mradi wa Tuzo kwa Tasnia ya Maziwa Himilivu kwa Tabianchi, linalolenga kuhamasisha sekta binafsi kuongeza upatikanaji wa pembejeo na huduma bora za mifugo. Mradi huu wa miaka miwili umeanza mwaka 2026 hadi 2028, na unatekelezwa katika mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya na…

