WANAHABARI WA KIMATAIFA KUTUMIA AFCON KAMA DIRISHA LA KUTANGAZA TANZANIA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WANAHABARI na watengeneza maudhui kutoka mataifa mbalimbali duniani wanatarajiwa kuitangaza Tanzania kwa hadhira ya kimataifa kupitia michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), huku vivutio vya utalii, utamaduni na maandalizi ya michuano hiyo vikitajwa kuwa sehemu ya maudhui yatakayosambazwa nje ya nchi. Wanahabari hao kutoka Marekani, Canada, Afrika Kusini,…

