TOTAL ENERGIES YAZINDUA MPANGO WA KUREJESHA TAKA ZA PLASTIKI

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMPUNI ya TotalEnergies Marketing Tanzania imezindua mpango wa ukusanyaji na uchakataji wa taka za plastiki katika vituo vyake vitano jijini Dar es Salaam, ukiwalenga wananchi kushiriki katika utunzaji wa mazingira huku wakinufaika kupitia mfumo wa pointi. Mpango huo unaotekelezwa kwa kushirikiana na kampuni ya Arena Recycling Limited, unalenga kuwahamasisha…

Read Full News

DAWASA YATEGUA KITENDAWILI GHARAMA UONDOSHAJI MAJITAKA KIGAMBONI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole zenye wakazi zaidi ya 410,400 Mitambo hiyo yenye thamani ya Sh2.3 bilioni imejengwa kwa ajili ya kuchakata majitaka kutoka maeneo hayo, pamoja…

Read Full News

BRELA:USIPOSAJILI NEMBO, MWINGINE ANAWEZA KUICHUKUA

Na Mwandishi Wetu,Geita WAFANYABIASHARA wanaotumia majina na alama za biashara bila kuzisajili wameonywa kuwa wanaweza kuingia katika migogoro ya umiliki endapo mtu mwingine atatangulia kuzisajili. Onyo hilo limetolewa na Afisa Usajili wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Athumani Makuka, wakati akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la taasisi hiyo katika Maonesho ya…

Read Full News