WAZIRI HOMERA AZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA ULIOHUISHWA NA HUDUMA NYINGINE KWA WATEJA WA TANESCO

šŸ“ŒAsisitiza mifumo iliyozinduliwa ifanye kazi kwa ufanisi na kuendana na mahitaji ya wateja šŸ“ŒAipongeza TANESCO kwa ubunifu na kuimarisha huduma kwa wateja wakubwa Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAZIRI wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Homera, leo Oktoba 6, 2026 amezindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliohuishwa pamoja na huduma mbalimbali za TANESCO zinazolenga kuboresha zaidi…

Read Full News