BANDA LA DAWASA LAVUTIA USHIRIKI VIONGOZI NA WAGENI COP12
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) inashiriki Mkutano wa 12 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12) kuhusu usimamizi wa Mazingira ya Pwani ya Bahari ya Hindi, unaofanyika Jijini Dar Es Salaam ukijumuisha zaidi ya wajumbe 500 kutoka Nchi mbalimbali wanachama. Mkutano huo,…

