MKAKATI WA PAMOJA KUHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUONGEZA IDADI YA WATUMIAJI- WAZIRI HOMERA.
📌Aongoza Site Trust Nishati safi Marathon Namtumbo, Ruvuma 📌Aipongeza TANESCO kwa mpango wa ukopeshaji majiko, ahimiza elimu hiyo ifike mbali zaidi. 📌Akabidhi gari kwa TANESCO Namtumbo kusogeza huduma kwa wananchi NA Mwandishi Wetu,Ruvuma Waziri wa Nishati Mhe. Dkt Juma Homera amesema mkakati wa pamoja wa kuelimisha matumizi ya nishati safi ya kupikia utachangia idadi kubwa…

