SERIKALI KUPELEKA UMEME VITONGOJI VYOTE VYA IGALULA IFIKAPO MWAKA 2030

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kutekeleza miradi ya kusambaza umeme katika Jimbo la Igalula mkoani Tabora, ikiwa na lengo la kuhakikisha vitongoji vyote ambavyo bado havijafikiwa na huduma hiyo vinapatiwa umeme ifikapo mwaka 2030. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, wakati akijibu swali la Mbunge…

Read Full News

TTB YAZINDUA KAMPENI YA UTALII WA NDANI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imezindua kampeni ya CODE +255 – TWENZETU KUTALII, inayolenga kuwahamasisha Watanzania kutembelea na kujionea vivutio mbalimbali vya utalii nchini kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka. Kampeni hiyo imeanza kutekelezwa leo Oktoba 27, 2026 hadi Januari 15, 2027, itashirikisha watu maarufu, washawishi wa mitandao ya kijamii…

Read Full News