WABUNIFU 60 WATINGA HATUA YA MWISHO YA WAZO BUNIFU TRA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Kamati Huru ya Wazo Bunifu imeanza hatua ya mwisho ya tathmini ya mawazo bunifu kwa kufanya mahojiano ya ana kwa ana na wabunifu 60 waliofuzu, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kusaka mawazo bora yatakayosaidia kuboresha utendaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Akizungumza wakati wa ufunguzi wa zoezi hilo,…

