WANANCHI TABORA NA KATAVI KUNUFAIKA NA UMEME WA UHAKIKA, TANESCO YAANZA UFUNGAJI WA TRANSFOMA YA MVA 150

📌 Ni sehemu ya Utekelezaji wa maelekezo ya Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, kuimarisha upatikanaji wa umeme mkoani Katavi. 📌 Transfoma mpya itaongeza uwezo wa kusafirisha umeme kutoka Shinyanga kwenda Tabora na Katavi ili kukidhi ongezeko la mahitaji na ubora wa umeme. 📌 Kazi ya ufungaji kukamilika ndani ya siku 21. Na Mwandishi Wetu,Tabora…

Read Full News