WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAILILIA BoT MAKATO YA MIAMALA

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam WAFANYABIASHARA wa Kariakoo wameiomba Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuangalia upya gharama za miamala ya kielektroniki ili kuwavutia wafanyabiashara wengi zaidi kuachana na matumizi ya fedha taslimu. Wamesema licha ya kutambua umuhimu wa malipo ya kidijitali katika kurahisisha biashara, gharama za miamala zinazotozwa zinaweza kuwa kikwazo kwa matumizi mapana…

Read Full News

HAKIKISHENI MNAMBANA MKANDARASI ILI MRADI WA UMEME SONGEA – MASASI UKAMILIKE KWA WAKATI – MHE. NDEJEMBI

📌Akagua Mradi wa njia ya kusafirisha umeme Msongo wa Kv 220 Songea – Tunduru – Masasi 📌Aagiza Meneja wa Mradi upande wa Mkandarasi kuondolewa ili kuongeza kasi ya utekelezaji. 📌Atoa rai kwa TANESCO kupeleka wataalamu kuongeza nguvu ya utekelezaji wa mradi. Na Mwandishi Wetu,Tunduru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius…

Read Full News