WANAFUNZI WA DMI WANG’ARA KIMATAIFA, WAITANGAZA TANZANIA KWA KUTWAA TUZO MBILI KOREA KUSINI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimeendelea kudhihirisha uwezo wake wa kuandaa wataalamu mahiri wa sekta ya bahari wanaoweza kushindana kimataifa, baada ya wanafunzi wake wawili wa kike kuwa miongoni mwa wanafunzi watano waliofanya vizuri zaidi na kutunukiwa Tuzo za Utendaji Bora (Best Performance Awards) katika Programu ya Kimataifa…

Read Full News