SERIKALI YAONGEZA UWEKEZAJI TAFITI ZA MADINI,YAWAIMARISHA WACHIMBAJI WADOGO

Na Asha Mwakyonde, DODOMA SERIKALI imeendelea kuongeza uwekezaji katika tafiti za kina za madini kwa lengo la kubaini rasilimali mpya na kuongeza mchango wa sekta ya madini katika uchumi wa taifa, sambamba na kuwawezesha wachimbaji wadogo kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji. Hayo ameyasema leo Aprili 27,2026 bungeni ,jijini hapa na Waziri wa Madini, Anthony…

Read More

DCEA YAPOKEA VIFAA VYA KISASA KUTOKA UNODC

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imepokea vifaa vya kisasa vya uchunguzi wa kimaabara kutoka Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), ikiwa ni pongezi baada ya kutambua mafanikio yaliyofikiwa na Tanzania katika udhibiti wa dawa za kulevya nchini. Pongezi hizo…

Read More

VITONGOJI VYOTE TANZANIA BARA KUWA NA UMEME IFIKAPO MWAKA 2030- WAZIRI NDEJEMBI

📌Ataja miradi kadhaa inayotekelezwa na REA 📌Amshukuru Rais Samia Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia 📌Wabunge waimwagia sifa REA Na Mwamdishi Wetu, Dodoma Serikali imedhamiria kuhakikisha vitongoji vyote 64,359 vya Tanzania Bara vinafikishiwa umeme ifikapo mwaka 2030 ili kuchochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii vitongojini pamoja na utoaji wa huduma bora katika maeneo…

Read More

SERIKALI YAJIPANGA UPYA SEKTA YA MADINI, YAFUTA LESENI 40 ZISIZOENDELEZWA

Na Asha Mwakyonde,DODOMA SERIKALI kupitia Tume ya Madini imechukua hatua ya kufuta jumla ya leseni 40 za utafutaji wa madini kutokana na wamiliki wake kushindwa kuziendeleza, katika juhudi za kuimarisha usimamizi wa rasilimali za madini nchini na kuhakikisha zinawanufaisha Watanzania kwa tija. Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 jijini Dodoma, Waziri wa…

Read More

DCEA YAKAMATA BOTI YENYE SHEHENA YA MIRUNGI IKITOKEA KENYA 

Na Mwandishi Wetu,Pwani MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kukamata boti ya mwendokasi iliyokuwa ikisafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka Mombasa, Kenya kupitia Bagamoyo, mkoani Pwani ambapo viroba 18 vyenye jumla ya paketi 1,062 za mirungi  vilikamatwa. Dawa hizo zilikamatwa katika operesheni hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia April…

Read More