WAWILI MBARONI KWA MAKOSA YA UHUJUMU NA UHAMISHAJI HOLELA WA MITA ZA UMEME DAR ES SALAAM

Na Agnes Njaala, Dar es Salaam Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewafikisha mikononi mwa vyombo vya dola watuhumiwa wawili kutoka maeneo ya Madale kwa Kawawa na Tegeta kwa Ndevu baada ya kubainika wakijihusisha na makosa ya hujuma na uhamishaji holela wa mita kinyume na utaratibu. Akizungumza Septemba 15, 2025 wakati wa operesheni maalumu ya ukaguzi,…

Read More

TAASISI ZA FEDHA ZATAKIWA KUFUATA NYAYO ZA TCB KATIKA UWEKEZAJI

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamSERIKALI imesema uchumi Tanzania una kiwango kikubwa cha sekta isiyo rasmi hivyo imezitaka taasisi za fedha kuhakikisha zinafanya ubunifu wakuongeza fursa za uwekezaji unaotokana na wajasiriamali. Akizungumza jana wakati wa akizinduzi wa Hatifungani ya Stawi Bondi ya Benki ya Biashara Tanzania (TCB) yenye thamani ya Sh Bilioni 150, Naibu Katibu Mkuu…

Read More

MPINA AKATAA GARI LA INEC

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MGOMBEA urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya hiyo leo, Septemba 13, 2025, katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), huku akitoa msimamo wa kipekee wa kukataa gari la kampeni aina ya Landcruiser linalotolewa na tume hiyo kwa wagombea. Mpina amekuwa mgombea…

Read More

TEKNOLOJIA YA KISASA YATAJWA KUWA KIKWAZO KUENDELEZA UCHUMI WA BULUU

Na Aziza Masoud,Dar es salaam SERIKALI imesema  ukosefu wa teknolojia za kisasa,takwimu sahihi na uelewa mdogo wa wananchi kuhusu fursa zilizopo katika uchumi wa buluu ni changamoto kubwa katika sekta ya bahari hivyo imewataka wadau kuzitafutia ufumbuzi. Akizungumza leo Septemba 10, 2025 katika uzinduzi wa  Kongamano la Uchumi wa Buluu lililoandaliwa na  Chuo cha Bahari…

Read More