CPA KASOLE:KAMPUNI TANZU ITASAIDIA KUKUZA BUNIFU ZETU

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) imeanzisha kampuni tanzu ambayo inahusika na kukuza bidhaa  bunifu  zinazotengenezwa kupitia vyuo vyake mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Mkurungezi Mkuu wa VETA, Anthony Kasole wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya 49 ya Kimataifa ya kibiashara Sabasaba yanayoendelea.  CPA Kasole alisema…

Read More

TPDC YATWAA TUZO YA  MAZINGIRA SABASABA

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamSHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeibuka mshindi na kupewa tuzo ya kuwa na mchango mkubwa  katika kulinda mazingira kupitia matumizi ya nishati safi katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam(DTIF) maarufu kama Sabasaba. Akizungumza mara baada ya kupokea tuzo hiyo, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa…

Read More

TANESCO YANOGESHA SABA SABA KWA KUGAWA  ZAWADI  YA MAJIKO YA UMEME

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limetoa zawadi ya majiko ya umeme kwa wananci waliofika katika banda lao lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ambao wamejibu maswali vizuri waliyoulizwa walipotembelea katika banda hilo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 7,2025 katika viwanja vya maonesho hayo, Mkurugenzi…

Read More