MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI: UCHAGUZI MKUU WA 2025 NI HALALI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2025 unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba, 2025 ni halali kwakuwa umefuata misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria za Uchaguzi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameyasema hayo katika Mkutano na Vyombo vya…

