JAB: TEKNOLOJIA ISITUMIKE KUHARIBU UBORA WA HABARI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka waandishi wa habari, watangazaji na wadau wa sekta ya habari kutumia teknolojia kwa uwajibikaji ili kuhakikisha maendeleo ya kidijiti hayaathiri ubora wa habari, maadili ya taaluma na haki ya wananchi kupata taarifa sahihi. Kauli hiyo ya Bodi imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa…

