TANZANIA KUJENGA CHUO KIKUU CHA USAFIRI WA MAJINI
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa Chuo Kikuu cha Kikanda cha Usafiri wa Majini, kitakachokuwa kitovu cha elimu, mafunzo, utafiti na ubunifu katika sekta ya usafirishaji kwa njia ya maji kwa nchi za Afrika Mashariki, Kusini na Kaskazini mwa Afrika. Chuo hicho kinatarajiwa kuwawezesha wataalamu wa sekta ya uchukuzi kupata…

