NRA YAINGIA RASMI MBIO ZA URAIS, HASSAN ALMASI ATAJA NGUZO TATU ZA MATUMAINI
Na Asha Mwakyonde, Dodoma MGOMBEA wa Urais kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Almas, pamoja na Mgombea mwenza wake, Ally Hassan, leo Agosti 9, 2025, wamekuwa wa pili kuchukua fomu ya kugombea Urais katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), zilizopo jijini Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada…

