
MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA BIASHARA,NGUZO YA HAKI,UKUZAJI UCHUMI WA TAIFA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma KATIKA mazingira ya sasa ya kiuchumi yanayoendelea kubadilika kwa kasi, upatikanaji wa haki kwa haraka, haki na usawa ni msingi muhimu kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa Taifa. Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia Divisheni ya Biashara, imekuwa chombo mahsusi kilichoanzishwa kwa lengo la kutoa majibu ya haraka na yenye tija katika migogoro ya…