
BENKI YA EQUITY YAFUTURISHA WATEJA,WADAU MJI MKONGWE ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu,Zanzibar BENKI ya Equity siku ya jana iliandaa tukio la kipekee la Iftar, likiwa na lengo la kuleta pamoja wadau muhimu, wakiwemo viongozi, wateja, na wadau mbalimbali, ili kusherehekea kwa pamoja katika mwezi huu wa Ramadhani. Iftar hiyo ilifanyika katika hotel ya Madinat Al Bahr. Katika hotuba yake,Mkuu wa Kitengo cha Malipo kwa…