
EQUITY YAWAKUTANISHA WAWEKEZAJI 236 KUTOKA NCHI 15
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAWEKEZAJI 236 kutoka nchi 15 za Tanzania,Ulaya,,nchi ya Falme za Kiarabu pamoja na Marekani wamekutana nchini kwa lengo la kujadili jinsi ya kukuza biashara zao na kufanya uwekezaji nchini Tanzania ili kuweza kupanua wigo wa masoko ya wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi. Wawekezaji hao kwa pamoja wanakutanishwa na…