Zaidi ya watu 800 wapatiwa huduma  banda la JKCI katika viwanja vya Sabasaba

Aziza Masoud,Dar es Salaam ZAIDI ya watu 800  wamefika katika banda la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kupima  matatizo mbalimbali  ikiwemo moyo,sukari na tiba lishe. Akizungumza katika maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba,Daktari wa Moyo  wa JKCIA Dk.Marsia Tillya amesema mpaka juzi Jumamosi banda hilo limeshapima wananchi wapatao 883  ambapo kati…

Read More

Jaji Mkuu aitaka BRELA kuunganisha Mahakama kwenye kanzidata

Mwandishi wetu ,Dar es Salaam JAJI Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma ameitaka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuiwezesha Mahakama nchini kuunganishwa kwenye Kanzidata ya Wakala ili kuweza kuhakiki taarifa za kampuni kwa uharaka pindi inapokuwa  inashughulikia mashauri yahusuyo kampuni hizo Rai hiyo ameitoa alipotembelea banda la BRELA lilipo ndani ya jengo la…

Read More

Kasore:Kozi yakuwahudumia wazee itakuwa msaada kwa wanaoenda nje ya nchi

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Elimu na Ufundi Stadium (VETA)  imesema mtaala wa kuhudumia wazee ili kuwasaidia watu wanaotaka kwenda kufanya kazi hizo nje ya nchi kuwa weledi zaidi. Akizungumza baada ya kutembelea banda la VETA katika maonesho ya 48 ya biashara ya Kimataifa,Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo Antony Kasore  amesema mtaala huo  pamoja na wa…

Read More

TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONESHO YA 48 YA KIMATAIFA ALMAARUFU SABASABA 2024

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam kuhamasisha Umma wa watanzania wawekezaji na wageni  kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo  inayoyasimamia huku ikijinasibu kuwa na fursa lukuki za uwekezaji. Akiongea na wageni waliotembelea banda la TAWA lililopo ndani…

Read More

Nape: Tuna wajibu wa kuilinda nchi yetu

Na Mwandishi Wetu,  Dar es Salaam Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka Wanachama wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA), kutumia vizuri majukwaa yao ya habari mtandaoni kujipatia kipato ili kukuza maisha yao.  Waziri Nape ameyasema hayo alipokutana na wadau wa jumuiya hiyo tarehe 5…

Read More

UDOM kufungua kampasi Njombe

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  CHUO Kikuu Cha Dodoma(UDOM) kinatarajia kuzindua kampasi mpya mkoani Njombe  ambapo inatarajia kujikita zaidi katika maeneo ya misitu na kilmo kwa lengo la kufungua ajira katika eneo hilo na mikoa ya jirani. Akizungumza katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango…

Read More

Wananchi watakiwa kutembelea banda la GCLA Sabasaba

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MWAKILISHI  wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) Stafford Maugo, amewataka wananchi wa kitembelea banda lao katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) kujionea shughuli mbalimbali wanazofanya ili waweze na kujifunza kuhusu masuala ya kemikali. Amesema kupitia maonesho hayo watawaelezea aina ya chunguzi wanazofanya kwa kushirikiana…

Read More

REA kutumia Sh Bilioni 35.2 kuweka nishati zakupikia kwenye magereza

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAKALA wa Nishati Vijijini(REA), inatarajia kutumia Sh. Bilioni 35.2 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa matumizi ya nishati safi yakupikia katika magereza 129 nchini katika kipindi cha miaka mitatu. Lengo la mradi huo ni kupunguza matumizi ya nishati inayoharibu mazingira kwenye taasisi zinazohudumia watu zaidi ya 100. Akizungumza kwenye maonesho…

Read More