
TANESCO YAANZA RASMI ZOEZI LA KULIPA FIDIA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA MIRADI YA UMEME
Na Mwandishi Wetu,Tunduru Jumla ya wananchi 1,526 wanatarajia kunufaika na malipo ya fidia ya shilingi Bilioni 4.7 baada ya kupisha Mradi wa ujenzi wa njia kubwa ya kusafirisha umeme wenye msongo wa Kilovoti 220 kutoka Tunduru hadi Masasi na ujenzi wa Kituo kipya cha kupoza umeme cha Masasi kilichopo Mkoani Mtwara. Akizungumza baada ya wananchi…