WAZIRI KABUDI AITAMBULISHA RASMI BODI YA ITHIBATI BUNGENI
Na Mwandishi Wetu, JAB Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameitambulisha rasmi Bungeni Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) na kubainisha kwamba katika kutekeleza majukumu yake kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 itaanza kwa kutoa mafunzo kupitia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari. Waziri Kabudi ametoa utambulisho huo leo…

