MAVUNDE AKABIDHI MATOFALI 41,000 NA SARUJI TANI 102 KUCHOCHEA SHUGHULI ZA MAENDELEO DODOMA JIJI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MWENYEKITI wa kamati ya Mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo na Mbunge wa Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde leo amekabidhi matofali 41,000 na Saruji tani 102 kwa kata zote 41 za Dodoma Mjini. Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo alisema lengo la kutoa msaada huo ni kuunga mkono miradi inayoibuliwa na wananchi…

Read More

DCEA  YAFYEKA MASHAMBA YA BANGI KONDOA

Na Mwandishi Wetu,Kondoa  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo haramu cha bangi katika maeneo ya Hifadhi ya Milima ya Haubi, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma. Akizungumza kwa…

Read More

JAB YAWATAHADHALISHA WALIOPANGA KUWASILISHA VYETI FEKI KUJISAJILI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MWENYEKITI wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB),Tido Mhando ametangaza rasmi kuanza kwa usajili wa waandishi wa habari katika mfumo wa TAI-Habari huku akiwaonya wasiokuwa wanataaluma lakini wamo kwenye tasnia waliojipanga kughushi vyeti ambavyo si halali wakati wa kujaza taarifa zao. Mhando ametangaza tahadhali hiyo leo Mei 19,…

Read More