
DK.MKOKO:WAAJIRI WATHAMINI TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili. Akizungumza katika mahojiano na kituo cha Televisheni cha Upendo tarehe 27 Machi, 2025, kwenye kipindi cha Wakeup Calls,…