
WANABANDIKA KOPE HATARINI KUPATA TRAKOMA,UONI HAFIFU
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WANAWAKE wanaobandika kope bandia wametakiwa kuchukua tahadhali kwakuwa wapo katika hatari ya kupata magojwa mbalimbali ya macho ikiwemo trakoma (vikope) na tatizo la uoni hafifu. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam Leo Januari 21, mwaka 2025 na Afisa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magojwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele (NTDCP) kutoka…