AZAKI KUKUTANA ARUSHA KUJADILI UTAWALA BORA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam ASASI  za Kiraia (Azaki) zinatarajiwa kukutana kwa siku tano jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya taasisi hizo ambapo miongoni mwa mambo wanayoyatarajia kuyazungumzia ni pamoja na pamoja na Utawala Bora.  Akizungumza jijini Dar es Salaam Leo Mei 22, 2025  Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Foundation For…

Read More

DCEA  YAFYEKA MASHAMBA YA BANGI KONDOA

Na Mwandishi Wetu,Kondoa  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo haramu cha bangi katika maeneo ya Hifadhi ya Milima ya Haubi, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma. Akizungumza kwa…

Read More