TUME YAZITAKA TAASISI,ASASI KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA KWA WELEDI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na weledi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani leo tarehe…

