WAUZA DHAHABU,MAAFISA MADINI WAMTAJA RAIS DKT,SAMIA KUKUA UCHUMI SEKTA YA MADINI

Na Mwandishi Wetu ‘’Uwepo wa soko la Pamoja chanzo kupaa uchumi,wachimbaji wadogo wakichangia asilimia 51 pato la Taifa,utoroshwaji madini haupo Rais Dkt,Samia anapaswa kupongezwa’’ WANUNUZI wa madini ya dhahabu mkoani Songwe,wamempongeza Rais Dkt,Samia Suruhu kwa kufanya mapinduzi ya kiuchumi katika sekta hioyo,iliyopelekea kupaa mara dufu kimapato ukilinganisha na miaka ya nyuma..anaripoti Ibrahim Yaasin,Songwe. Wakizungumza leo…

Read More

WACHIMBAJI MADINI YA CHOKAA ZAIDI YA 300 WAOMBA KUKOPESHEKA KUONGEZA TIJA NA KUTUNZA  MAZINGIRA

Na Ibrahim Yassin,Songwe KUNDI la vijana wanaojishughulisha na uchimbaji wa chokaa kijiji cha Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe wameiomba serikali na wadau wengine kuwawezesha ili waweze kukopesheka kuongeza tija katika uzarishaji.. Kundi hilo la vijana zaidi ya 300 wametoa maombi hayo ili waweze kuchimba na kuchoma chokaa kisasa kwa kutumia makaa ya mawe ukilinganisha na…

Read More

WANAHABARI WAPEWA JUKUMU KUELIMISHA JAMII KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA

Na Ibrahim Yassin Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhani Kailima amewataka maafisa habari wa Serikali kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza zoezi lina lotarajiwa kuanza Julai 1,2024.. Kauli hiyo imetolewa jana wakati wa mkutano wa tume na maafisa habari wa mikoa na halmshauri uliofanyika katika ukumbi wa…

Read More

Uongozi Jatu PLC waitisha mkutano wa dharula

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamZAIDI ya wanahisa 10,000 waliopo katika kampuni ya Jenga Afya Tokomeza Umaskini (JATU PLC)wanatarajiwa kushiriki katika mkutano mkuu maalum wa dharula utakaofanyika kwa njia ya mtandao kesho wenye lengo la kuwaizinisha wajumbe wa bodi. Mkutano huo wa dharura wa JATU utafanyika kwa njia ya mtandao (zoom) kesho utakuwa na agenda zisizopungua…

Read More

WANANCHI KIBOSHO WAIOMBA SERIKALI KUWAJENGEA VIVUKO VYA KUDUMU

Na Ashrack Miraji, Same Kilimanjaro Wananchi wa Kata ya Kibosho,wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro,wameungana na wadau wa maendeleo kushiriki katika ujenzi wa daraja linalounganisha vijiji vitatu. Daraja hili litawezesha wakazi zaidi ya 6,000 kupata huduma za kijamii na kuwezesha watoto kwenda shuleni. Bi. Veridiana Mmasy, mmoja wa wadau wa maendeleo, ametoa wito kwa serikali kushirikiana…

Read More

DC SAME AMPONGEZA DK NCHIMBI KWA KUWASISITIZIA WANANCHI UMUHIMU WA KUTUNZA TUNU YA TAIFA

Same, Kilimanjaro, TanzaniaMkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, ametoa pongezi kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dk Emmanuel Nchimbi, kwa kutoa wito kwa Watanzania kuhifadhi tunu ya umoja wa kitaifa na amani ya Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari, Mgeni alisisitiza umuhimu wa kuendelea kulinda amani wakati tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa….

Read More

Wnanchi waiomba serikali kumuunga mkono mdau wa maendeleo Kibosho

Na Ashrack Miraji, Same Kilimanjaro Wananchi wa Kijiji cha Singa, Kata ya Kibosho Mashariki Mkoani Kilimanjaro, wameiomba serikali kumuunga mkono Bi. Verdiana Martini Mmasy, mdau wa maendeleo wa kijiji hicho, katika ujenzi wa madaraja ya kudumu. Wamesema madaraja hayo yatakuwa muhimu katika kuunganisha vijiji mbalimbali katika Kata ya Kibosho Mashariki, Mkoani Kilimanjaro. Bi. Mmasy, ambaye…

Read More