REA YATOA ZAIDI YA BILIONI 5 KUZALISHA UMEME WA MAJI LUPALI
Na Mwandishi Wetu,Njombe WAKALA wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha shilingi bilioni 5.4 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa maji Lupali wenye uwezo wa kuzalisha kilowati 317 unaotekelezwa na shirika la Benedictine Sisters of St. Gertrud Convent Imiliwaha. Hayo yamebainishwa leo Machi 11, 2026 wakati wa ziara ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) walipotembelea…

