
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI MTUMBA
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025, wakati wa ziara ya kukagua…