VIONGOZI WA DINI KANDA YA KUSINI WATAKA ULINZI AMANI,KUJITOKEZA KUPIGA KURA

Na Mwandishi Wetu, Lindi VIONGOZI wa dini mbalimbali kutoka mikoa ya Kanda ya Kusini wamewataka vijana nchini kuendelea kulinda amani ya Taifa, kuacha kutegemea taarifa za mitandaoni na badala yake kujitokeza kwa wingi kupiga kura kumchagua kiongozi wanayemtaka katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Wito huo umetolewa leo Oktoba 24, 2025, katika Kongamano la…

Read More

DKT. MATARAGIO AAGIZA VIFAA VYOTE VYA UHAKIKI WA JOTOARDHI ZIWA NGOZI KUFIKA KWA WAKATI

Na Mwandishi Wetu,Mbeya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Kampuni yake Tanzu ya Uendelezaji Jotoardhi (TGDC) kuhakikisha kuwa vifaa vyote vya uhakiki wa rasilimali Jotoardhi katika mradi wa Ziwa Ngozi vinafika kwa wakati ili kazi za uhakiki ziweze kumalizika kulingana na muda uliopangwa. Dkt. Mataragio…

Read More

OMO AWATAKA WAZANZIBAR KUSHIKAMANA KUMPIGIA KURA AWABORESHEE MAISHA

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amewataka Wazanzibari wote kushikamana kwa pamoja na kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu ujao ili kuinua maisha ya wananchi na kuinusuru Zanzibar. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Shumba ya Vyamboni, Jimbo la Tumbe, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Othman alisema kuwa…

Read More

TANESCO YATEKELEZA KWA MAFANIKIO PROGRAMU YA “KONEKT UMEME, PIKA KWA UMEME” NCHI NZIMA

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Siku chache baada ya uzinduzi rasmi wa programu maalum ya Konekt Umeme, Pika kwa Umeme uliofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza kutekeleza kwa mafanikio makubwa zoezi la kuwaunganishia wananchi umeme pamoja na kuwapatia kwa mkopo majiko ya…

Read More

NEWALA WAIPA KONGOLE REA MRADI WA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJINI

Na Mwandishi Wetu,Mtwara WAKAZI wa vitongoji vya Chihanga, Mpilipili, Mkwedu na Majengo Wilayani Newala Mkoani Mtwara wameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kufikisha umeme katika vitongoji hivyo. Wametoa pongezi hizo Oktoba 19, 2025 kwa nyakati tofauti wakati wa kampeni maalum ya kuhamasisha wananchi vitongojini kujiunga na huduma ya umeme inayoratibiwa na REA. “Tunashukuru kufikishiwa…

Read More