UMEME VITONGOJINI WACHOCHEA UCHAKATAJI MAZAO KATAVI
Na Mwandishi Wetu,Katavi Imeelezwa kuwa mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Awamu ya Pili B (HEP 2B) unakwenda kuongeza na kuchocchea uchakataji wa mazao ambayo kwa kiasi kikubwa wananchi wa mkoa wa Katavi wanazalisha mazao katika mkoa huo. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko leo tarehe 6 Februari, 2026…

