MAAFISA MAWASILIANO WAANDALIWA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
NA Mwandishi Wetu,Morogoro CHAMA Cha Maafisa Mawasiliqno wa Serikali Tanzania (TAGCO) kimeendelea kutoa mafunzo mbalimbali ikiwemo matumizi ya teknolojia ya Akili unde (Artificial Intelligence – AI) kwa Maafisa Mawasiliano wa serikali kwa lengo la kuhakikisha wanafanya kazi kuendana na mabadiliko ya teknolojia. Mafunzo hayo yanayoendelea kufanyika Mkoa wa Morogoro yamejikita kuongeza ubunifu katika kazi na…

