VIJANA WAUNGANA NA RAIS DK.SAMIA KUSHEREKEA ‘BIRTHDAY ‘
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAKATI Rais Dk.Samia Suluhu Hassan leo Januari 27 akisherekea kutimiza miaka 66 tangu kuzaliwa kwake,vijana wa maeneo mbalimbali waliopo jijini Dar es Salaam wamekusanyika pamoja ili kusherekea siku hiyo kwakuelezea mambo mbalimbali anayoendelea kuyafanya kwa wananchi hasa vijana katika uongozi wake. Akizugumza katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Bora…

