
TAEC YATAKIWA KUSIMAMIA KWA UMAKINI UFADHILI WA ‘SAMIA SCHOLARSHIP’
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka bodi mpya ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kusimamia kwa umakini ufadhili wa masomo katika masomo ya elimu ya juu ya teknolojia ya nyuklia, ufadhili uliopewa jina la ‘Samia Scholarship Extended Program’. Profesa Mkenda ameyasema hayo jana mkoani…