WAZIRI RIDHIWANI:TANESCO MUONGEZE VITUO VYA KUCHAJIA VYOMBO VYA USAFIRI VINAVYOTUMIA UMEME
Na Mwandishi Weru,Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amelitaka Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) kuongeza vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia nishati ya umeme ili kuongeza wigo wa utoaji huduma hiyo ambayo imeonekana kuleta mageuzi katika matumizi ya nishati safi. Mhe….

