
MAVUNDE AKABIDHI MATOFALI 41,000 NA SARUJI TANI 102 KUCHOCHEA SHUGHULI ZA MAENDELEO DODOMA JIJI
Na Mwandishi Wetu,Dodoma MWENYEKITI wa kamati ya Mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo na Mbunge wa Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde leo amekabidhi matofali 41,000 na Saruji tani 102 kwa kata zote 41 za Dodoma Mjini. Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo alisema lengo la kutoa msaada huo ni kuunga mkono miradi inayoibuliwa na wananchi…