
GAWIO KUTOKA KAMPUNI AMBAZO SERIKALI INA HISA CHACHE ZAPAA KWA ASILIMIA 236
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Dar es Salaam. Gawio kwa Serikali kutoka kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache limeongezeka kwa asilimia 236 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Katika mwaka ulioishia Juni 2024, Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina ilipokea kiasi cha Sh195 bilioni kama gawio, ikiwa ni ongezeko kutoka Sh58 bilioni miaka…