
COPRA YAWEKA MIKAKATI KUMI YAKUONGEZA UZALISHAJI NGANO
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), imeandaa mkakati wa miaka 10 wa kuongeza uzalishaji wa ngano. Akizungumza juzi jijini Dar es Salaam wakati akifungua kikao cha wadau wa zao la ngano,Mkurugenzi Mkuu wa COPRA, Irene Mlola zao hilo pamoja na kuwa ni miongoni mwa …